Huduma ya udhibiti wa maadili

Ripoti yako itapitiwa/itakaguliwa na kuchakatwa hapa Tanzania.

Mahusiano yote ya kisheria yatakayotokana na ukaguzi wa ripoti yako yatashugulikiwa kwa mujibu wa sheria za Tanzania.

Mkataba wa data ya kibinafsi.

Kwa kubonyeza "Endelea" unakubali kuchakatwa kwa taarifa/data yako binafsi / au data yako binafsi kuhamishwa hadi wa washirika wasiyo na uhusiano na kampumi au kwenye nchi nyingine na nia inayohusiana na ukusanyaji, kuchakatwa and kuhifadhi, pamoja na kukaguliwa kwa ripoti na wewe kupewa maoni husika.

Wewe kama mhusika mkuu wa data ya kibinafsi, unakubali taarifa zako kuchakatwa na mitambo/zana za kiotomatiki ama na kampuni ya Watu yenyewe au msimamizi wa data ya kibinafsi kwa niaba ya Watu, na unakubali kuwa Watu inaweza kuhamisha data ya kibinafsi yako kwa wahusika walio idhinishwa na kampuni kulingana na sheria na matengenezo ya fomu hii. Orodha ya ofisi tanzu za Watu zinapatikana kwenya tovuti watuafrica.com..

Unakubali ya kwamba kabla ya kuijaza fomu hii, umeonywa juu ya kutoa/kupeana taarifa za kibinafsi kwenye hifadhidata ya Watu pamoja na haki zake na, za watu wanaopeana taarifa binafsi yako kwa mujibu wa sheria ya Kenya ya Ulinzi wa Data.

Ilani kuhusu kutokuwepo kwa huduma za dharura.

Ethicontrol sio huduma ya dharura:
Usitumie hii tovuti kuripoti matukio yenye tiishio la uhai ama uharibifu wa mali. Ripoti zinazopokelewa kupitia kwenye huduma hii hazitashugulikiwa mara moja. Ikiwa unahitaji huduma za dharura, tafadahali wasiliana na asasi zinazowajibika na kutekeleza sheria au wato huduma za dharura.